FamNET - Academic Results System

Karibu FamNET

Je, ungependa kutumia mfumo wetu kurahisisha utoaji wa taaluma katika shule yako?

Unaweza kuchakata na kutunza matokeo ya mitihani na majaribio yote ya kila mwezi kupitia mfumo wa FamNET.

Pia wazazi wanaweza kuona taarifa za maendeleo ya watoto wao kitaaluma kupitia simu zao hivyo kuokoa muda na gharama za karatasi.

Wasiliana nasi: 0764936387 / 0769748805

FamNET For Instant Academic Results

Ingia kwenye Akaunti